Ad
Ad

Michezo

VIDEO: Kauli ya TFF kuhusu shabiki wa Taifa Stars aliyefariki uwanjani Burundi ikisawazisha

on

Shirikisho la soka Tanzania TFF leo limefanya mkutano na waandishi wa habari wa vituo mbalimbali, TFF imefanya mkutano huo uliokuwa na lengo la kuzikutanisha kamati mbili za hamasa ya Taifa Stars na ile iliyokuwa imeundwa na waandishi wa habari.

Kupiti kwa mtendaji mkuu wa shirkisho hilo Wilfred Kidao ameanza kwa kuwashukuru wote walioshiriki kuhamasisha katika mchezo lakini pia ameeleza kuwatafuta ndugu au familia ya shabiki wa soka wa Taifa Stars aliyefariki weekend hii baada ya Burundi kuswazisha goli dhidi ya Tanzania katika mchezo wa kuwania kufuzu Makundi ya kucheza Kombe la Dunis Qatar 2022.

EXCLUSIVE: SAMATTA KAFUNGUKA DILI LAKE KWENDA ENGLAND, VIPI CHAMPIONS LEAGUE

Soma na hizi

Tupia Comments