AyoTV

VIDEO: Roma kuhusu kuonekana akifundisha DSM

on

Story ambayo ili-make headlines kwenye mitandao mbalimbali mwanzoni mwa mwezi April, 2017 ilikuwa ni issue ya kutekwa rapper staa Roma Mkatoliki na wenzake lakini leo June 15, 2017 staa huyo amerudi tena kwenye headlines nyingine baada ya kuonekana akifundisha kwenye moja ya shule za msingi DSM…

Ayo TV na millardayo.com zinaye Roma kwenye Interview ambapo anaeleza zaidi kwa nini alionekana akifundisha. VIDEO hii ina kila kitu…bonyeza PLAY kutazama!!!

ULIPITWA? Hii inamuhusu msamariamwema mmoja ambaye ameuawa na watu wanaodaiwa kuwa mateja baada ya kumfukuza mwizi aliyepora mkoba wa mwanamke…PLAY hii VIDEO kujua kisa!!!

 

Soma na hizi

Tupia Comments