Top Stories

Kampuni ya MO DEWJI yafunguka ishu ya kusitisha uzalishaji (+video)

on

Leo October 18, 2018 Kampuni ya Mohemmed Dewji (MO) imetoa taarifa kuelezea kama watasitisha shughuli za uzalishaji au lah. Kupitia Twitter akaunti yao MeTL wameweka wazi juu hilo.

Nanukuu kilichoandikwa katika Twitter ya MetL  “Tunaendelea kusikitishwa na tukio lililomtokea Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni yetu, Mohammed Dewji. Pia tunapenda kutoa taarifa kwamba taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa tarehe 20/10/2018 tutasimamisha shughuli za ulishaji katika makampuni yetu siyo za kweli” 

Ebitoke kabananishwa uchochoroni “ninabana makalio” | Amchana EX wake LIVE

Soma na hizi

Tupia Comments