magari

PICHA 8: Muonekano wa gari lililopakwa vumbi la madini ya Almasi

on

Magari ni kati ya vitu vinavyoundwa kwa ubunifu mkubwa na gharama zaidi duniani. Mapambo katika magari ni sehemu ya kuyafanya yavutie huku makampuni yanayotengeneza yakitumia kila namna ya madini kuhakikisha wanafanya biashara nzuri ya bidhaa zao.

Leo nimekutana na hii kuhusu gari la Rolls-Royce Ghost Elegance ambalo limetumia vumbi la Almasi 1,000 kama rangi ya kulipaka. 

Ulikosa? Hussein Machozi akifunguka anachokifanya Italy tofauti na muziki? Bonyeza play hapa chini kusikiliza 

Soma na hizi

Tupia Comments