Breaking News

LIVE: Ibada ya kuaga mwili wa Mtanzangaji Isaac Gamba Hospitali ya Lugalo DSM

By

on

Muda huu kupitia AyoTV mwili wa aliyekuwa mtangazaji wa idhaa ya kiswahili ya DW, Isaac Gamba unaagwa katika Hospitali ya Lugalo jijini Dar e salaam. Gamba alikutwa akiwa amefariki dunia mjini Bonn nchini Ujerumani Alhamisi ya October 18 mwaka huu baada ya kutoonekana afisini Jumanne na Jumatano. Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama

Tupia Comments