Top Stories

Mbowe, Viongozi CHADEMA wameomba kesi kuhamishiwa Mahakama Kuu

on

Leo April 17, 2018 Wabunge wa CHADEMA, wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, wamewasili katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Miongoni mwa waliofika mahakamani ni pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho, Vincent Mashinji, Esther Bulaya wa Bunda, Halima Mdee, Esther Mati, Naibu Katibu Mkuu bara, John Mnyika na Naibu Katibu Mkuu visiwani, Salum Mwalimu.

Mbowe, wenzake waomba kuhamia Mahakama Kuu wamefika mahakamai hapo kutokana na kesi inayowakabili namba 112 ya mwaka huu Hakimu Mkazi Mkuu Wilbard Mashauri ataongoza kesi hiyo huku Wakili wa Serikali Mkuu Faraja Nchimbi akijibu hoja zilizowasilishwa jana na Wakili wa utetezi Peter Kibatala.

MAGAZETI: Dar yasimama,Ripoti ya CAG yavuruga Bunge

Soma na hizi

Tupia Comments