Video Mpya

VideoMPYA: Ladies & Gents ni Saida Karoli kwenye “Akatambala” ft Hanson Bariluno

on

Leo February 12,2018 msanii mkongwe katika game ya muziki nchini Saida Karoli anakuletea video ya wimbo wake mpya “Akatambala” akiwa ndani kamshirikisha Hanson Bariluno kutokea Uganda.

Msanii wa Uganda ‘Nilimlipa Saida Pesa akakataa, nilimpigia magoti kwa heshima’

Soma na hizi

Tupia Comments