AyoTV

VIDEO: Usioyajua kuhusu harusi ya Rais Magufuli ”Sikuvaa Koti wala Mke wangu hakuvaa shela”

By

on

Leo November 1 2018 President Magufuli amezungumza kwenye kongamano la hali ya uchumi lililofanyika katika chuo kikuu cha Dar es salaam ambapo amesema amefurahi kurudi nyumbani ambapo si tu alipata elimu bali pia alifunga ndoa chuoni hapo.

 “Mimi nilifungia ndoa hapa chuo Kikuu na ni tofauti na ndoa mlizozizoea mimi sikuvaa koti wala mke wangu hakuvaa shela lakini tulifunga ndoa kwenye kanisa la chuo kikuu na Padri alitununulia pete ilikuwa ya shaba”- Rais Magufuli

Unaweza kubonyeza hapa chini kusikiliza alichokizungumza Rais Magufuli

Rais Magufuli kwenye kongamano kuhusu hali ya uchumi na siasa Tanzania, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUITAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments