Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

IMEFAHAMIKA: Hiki ndio Kijiwe cha Dr. Luis Shika anapofanyia kazi zake nyingi

on

Jina la Dr. Luis Shika bado lipo kwenye vichwa vya habari wakati huu ambao bado anashikiliwa na Polisi kwa kuharibu mnada wa nyumba ambao aligombania kununua nyumba za Bilioni 2 lakini akawa hana kitu mfukoni.

Watu wengi walitamani kujua kama kweli Dr. Shika ni Bilionea kama alivyojitokeza, wengi walitamani kujua maisha yake na kama kweli sio mtu wa mchezomchezo… sasa AyoTV imetembelea mtaani kwake na kwenye kijiwe ambacho amekua akifanyia kazi.

VIDEO: IMEFAHAMIKA HAPA NDIPO ANAPOISHI DR. LUIS SHIKA, MAJIRANI WAONGEA

Soma na hizi

Tupia Comments