fB insta twitter

Faini kwa watakaogonga mabasi yaendayo haraka hii hapa

on

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter>>>@millardayo na Zote nakusogezea hapa chini

Moja ya story kubwa June 02 2016 kwenye gazeti la Mwananchi ni hii yenye kichwa cha habari ‘watakaogonga mabasi ya Udart faini 300,000‘ 

Gazeti la Mwananchi limeripoti kuwa madereva wa magari, bodaboda na bajaji wanaovunja sheria na kuyasababisha ajali ya mabasi ya haraka watatozwa faini isiyopungua sh 300,000.

Gazeti hilo limezungumza meneja uhusiano wa Dart, William Gatambi ambaye amesema wamewasilisha maoni ya kupitishiwa sheria ndogondogo kwa ajili ya barabara zinazotumiwa na mabasi hayo katika wizara husika kwa ajili ya kufanyiwa kazi  

ULIIKOSA HII YA KAULI YA RAIS MAGUFULI KUHUSU WATU WANAOTUMIA BARABARA YA MABASI YAENDAYO HARAKA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments