fB insta twitter

Mfugaji Geita auza ng’ombe 3,000 ili kutekeleza mradi huu mkubwa

on

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.

Moja ya story ambayo imeandikwa June 11 2016 kwenye gazeti la Mwananchi ni hii yenye kichwa cha habari ‘Mfugaji auza ngombe 3000, ajenga hospitali ya sh bil 2 Geita‘ 

Mfugaji Makoye Athuman, mkazi wa Mtaa wa Tambukara, kata ya Karanga mkoani Geita ameuza ng’ombe 3000 wenye thamani ya bil 2.1 na kujenga hospitali ya kisasa katika eneo hilo. 

Gazeti hilo limeeleza kuwa mfugaji huyo maarufu kwa jina la Makoye Meno, alisema alichukua uamuzi huo baada ya kuguswa na ukosefu wa huduma za afya katika eneo hilo na aliamua kuwekeza kwenye sekta hiyo pamoja na kuondokana na migogoro ya wakulima na wafugaji. Athuman alisema hospitali hiyo itakuwa na wataalamu wa magonjwa mbalimbali na baadhi ya madaktari bingwa kutoka nchini India.

Waweza kuzipitia hapa nyingine kubwa kwenye magazeti ya leo June 11 2016

ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI JUNE 11 2016 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments