Mix

Hivi ndivyo Kariakoo palikuwa leo, ujenzi barabara unaendelea alafu mvua ikanyesha.. (PICHAZ)

on

IMG_6246Kulikuwa na mabadiliko ya barabara za kuingia katikati ya Jiji wiki hii, eneo la Jangwani lilifungwa ili kupisha Ujenzi wa barabara za mabasi ya mwendokasi.

Nimepita maeneo ya Kariakoo na kuona hali ilivyo, ujenzi unaendelea.. mvua ikanyesha kwa muda mfupi lakini bado mishe mishe za watu zinaendelea kama kawaida tu yani.

IMG_6240

IMG_6243

IMG_6245

IMG_6246

IMG_6255

IMG_6265

IMG_6270

IMG_6271

IMG_6272

IMG_6274

IMG_6275Kaa karibu na millardayo.com nitakachokipata nitakusogezea hapa muda wowote kuanzia sasa, unaweza kujiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments