Mix

Hii ndiyo hali halisi ya Soko la Kariakoo leo February 10.

By

on

12Inawezekana Wafanyabiashara wa Tanzania wameamua kuzigomea kabisa hizi mashine za Tra ambazo wanadai bado zina mgogoro mkubwa kwenye biashara yao na leo wafanyabiasha hao wameamuakutofungua tena maduka yao,Ukipita Kariakoo utaona maduka mengi yakiwa yamefungwa japo taarifa ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania amedai kuwa ni Nchi nzima mgomo huo.

6Millardayo.com imeongea na Mwenyekiti wa wafanyabiashara wa Tanzania Johnson Minja ambaye amesema wao mgomo huu waliupata kwa njia ya ujumbe mfupi wa maandishi[sms] jana February 09 ukiwataka kutofungua maduka leo Feb 10 ingawa mpaka sasa hajajua ulitungwa na nani ujumbe ule.

18Baada ya kupokea ujumbe huo,yeye kama Mwenyekiti aliamua kutengeneza ujumbe mpya ukiwaomba Wafanyabiashara wafungue maduka na waendelee na biashara kama kawaida kwa sababu shauri lao bado linafatiliwa.ingawa alipokuja Kariakoo asubuhi kakuta baadhi ya maduka hayajafunguliwa.

Hizi ni picha za mitaa mbalimbali ya Kariakoo leo Feb 10.

31

30

28

27

26

21

 

 

23

24

25

19

 

Tupia Comments