Mix

Maduka ya Kariakoo yafungwa tena,sababu ipo hapa.

on

kkoo4Hii ndo hali ilivyo asubuhi hii wafanyabiashara wa soko la kariakoo leo wamefunga maduka yao kama kushinikiza wafanyabiashara wenzao kuhudhuria mkutano wao ambao pia unahusisha wafanyabiashara wengine toka mikoani.

kkoo7Mikoa ambayo imetajwa kuhudhuria mkutano huo ni pamoja na Mbeya,Mwanza na hapa Dar,Kwenye mkutano wao wa leo Mgeni rasmi anategemewa kuwa Waziri wa Biashara na Viwanda Abdallah Kigoda na mkutano huu unafanyika Diamond Jubilee Hall.

kkoo6

kkoo2

Tupia Comments