Mix

Soko la Kariakoo maduka yamefungwa tena, safari hii sababu hii imetajwa.

on

kkoo2Mwaka 2014 ulikuwa ni mwaka ambao taarifa za Wafanyabiashara wa mikoa mbalimbali kugoma zilitawala sana, ilianzia Dar es Salaam,  baadae ikasikika  Mbeya wamegoma nao mwishoni pia tukasikia na Mwanza nao waligoma.

kkooTaarifa ya leo January 27 ninayokupatia mtu wangu ni kwamba Wafanyabiashara wa Kariakoo wamefunga tena maduka yao na hivi sasa inasemekana wamefanya hivyo kama kushinikiza kuachiwa huru kwa Mwenyekiti wa jumuiya hiyo ya Wafanyabiashara Johnson Minja ambaye inadaiwa amekamatwa jioni ya jana.

minja

Johnson Minja, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo.

Mmoja wa Wafanyabiashara kazungumzia hali hii, bonyeza play kumsikiliza.

Tupia Comments