Michezo

Floyd Mayweather si hajawahi kushindwa? Yuko huyu kwenye mapambano 210 kashinda mapambano 9 tu !!

on

survey-results

Watu na record zao mtu wangu.. Unajua kwenye wanaosifiwa kwa kushinda wako ambao wanashindwa pia !!

Nimempata huyu mmoja, yeye record yake iko kinyumenyume yani.. Floyd Mayweather hajawahi kushindwa hata pambano moja tangu amekuwa Professional boxer.. lakini Bondia Kristian Laight ambae ni raia wa Uingereza amewahi kushinda mapambano tisa tu kati ya mapambano 210 ambayo amewahi kupigana.

Laight

Moja ya Mapambano ambayo Kristian Laight alipoteza.

Huyu anakuwa rafiki yako au jamaa yako wa karibu kabisa, unamshauri nini mtu wangu?

Tupia Comments