Mix

MSIBA KANISANI: Ni watu wawili waliofariki wakibatizwa Kilimanjaro

on

Ni pale unaposikia kuna Watu walikwenda kwenye tendo la kujiweka karibu na Mungu lakini wakafariki au kupoteza maisha wakiwa kwenye eneo hilohilo kabla hawajatimiza lengo.

Hii imetokea kwenye Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro ambako Watu wawili wamefariki wakati wakibatizwa katika mto Ungwasi ambapo Mkuu wa wilaya ya Rombo Agnes Hokororo, amesema waliofariki ni wa kanisa la Siloam.

Taarifa zilizosambaa zinasema watu hao walifariki baada ya mmoja wao kupandisha mapepo ambapo mpaka sasa Jeshi la Polisi Kilimanjaro linawashikilia watu watatu akiwemo Mchungaji wa kanisa hilo, millardayo.com na AyoTV zinaendelea kufatilia zaidi.

VIDEO: Sababu za kifo cha mke wa Mwakyembe, Panga pangua ya IGP balaa. Bonyeza play kutazama hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments