Michezo

Mesut Ozil karudisha fadhila Kenya

on

Baada ya kuenea na kusambaa kwa picha ya mtoto nchini Kenya akiwa amevaa jezi ya Arsenal iliyoandikwa mkono jina la staa wa Arsenal Mesut Ozil, staa huyo ameguswa na tukio hilo na kuamua kufanya kitu kwa ajili ya mtoto huyo.

Mtoto huyo aliyeonekana akiwa amevaa jezi ya Ozil iliyoandikwa kwa mkono akiwa anachinga ng’ombe, amepata bahati na staa huyo ameamua kumtumia jezi original mtoto huyo pamoja na mdogo wake kutoka London hadi Kenya.

Ozil amewatumia watoto hao jezi, viatu vya Adidas na pamoja na snap back cap kama ishara za kuukubali upendo wao, kupitia ukurasa wa twitter Ozil aliandika ”

Mwinyi Zahera alisababisha shabiki wa Yanga abet mke wake

Soma na hizi

Tupia Comments