Habari za Mastaa

Gabo aeleza Movie ya Kibiti ilivyokwama “Niliongea na kamanda Sirro”

on

Muigizaji Gabo ameelezea wazo lake la kutaka kuitumia sanaa kuelezea mauaji yanayoendelea Kibiti na mwisho wa siku wazo lake lilivyokwama ingawa alifanya maongezi na kamanda Sirro ili kupata kibali kufanya hivyo.

Kwenye Exclusive interview na Ayo Tv Gabo amefunguka, bonyeza PLAY kusikiliza mwanzo mwisho alichoongea .

Maua Sama afunguka aliyoyapitia siku 10 “Ni ngumu kusahau”

 

Soma na hizi

Tupia Comments