AyoTV

TOP5: Samatta katajwa na Gary Lineker | Kagere kama Zlatan? 🔥🔥

on

AyoTV imekuwa na utaratibu wa kukusogezea TOP 5 Stories za Sports ambazo zinakuwa zimetrend kila wiki, leo hizi ndio habari tano kubwa katika sports zilizochukua headlines, unaweza kutazama hapo mabadiliko ya club Bingwa Duni, Meddie Kagere na Mbwana Samatta.

VIDEO:PYRAMIDS FC IMEWASILI JIJINI MWANZA NA NDEGE YA KISASA

Soma na hizi

Tupia Comments