Habari za Mastaa

PABLO ESCOBAR: Mfalme wa Cocaine, anadaiwa kuuwa watu 70,000

on

Kutana na Pablo Emiliano Escobar mzaliwa wa Colombia ambaye alifahamika kama Mfalme wa Cocaine kutokana na kazi yake ya usamabazaji wa dawa za kulenya aina ya Cocaine nchini Marekani na Colombia.

Kutokana na kazi yake ya uuzaji wa dawa za kulevya jeshi la Marekani pamoja na Colombia liliungana ili kumkamata Pablo Escobar mwaka 1993 na ndipo walipofanikiwa kumuua kwa kumpiga risasi ya kichwa mnamo December 2,1993. Bonyeza PLAY kusikiliza historia. 

PART 2: Miss Kigoma baada ya kufika Dar “Nilianza na cherehani moja sasa hivi ninazo 9”

Soma na hizi

Tupia Comments