Michezo

KMC yamuamini Ndikumana na kumpa mkataba

on

Ikiwa usajili wa dirisha dogo unaendelea kwa sasa Tanzania bara, club ya KMC ya Kinondoni imetangaza rasmi kunasa saini ya mshambuliaji Seleman Ndikuma.

KMC imemsajili Ndikumana ikiwa ni siku chache zimepita toka club ya Azam FC iamua kuvunja mkataba na mchezaji huyo kwa kutoitumikia katika michezo ya mashindano.

Ndikumana aliyesajiliwa chini ya kocha Etienne Ndairagije ambaye kwa sasa ni kocha mkuu wa Taifa Stars, inaelezwa kuwa amechwa sio tu kwa Azam FC kutotaka kuvumilia apone ila sio chaguo la kocha Aristica Cioaba, KMC haijataja imempa mkataba wa muda gani hadi sasa.

Soma na hizi

Tupia Comments