Top Stories

LIVE: ‘Ninawapa wiki moja la sivyo tutavunja mkataba na TBA’- Waziri Ndalichako

on

Muda huu kupitia AyoTV  tupo LIVE  Waziri wa Elimu, Joyce Ndlichako ametembelea mradi wa ujenzi wa madarasa, hostel na ofisi kwa ajili ya Chuo Kikuu cha Muhimbili Kampasi ya Mloganzila ambapo baada ya kutembelea mradi huo hajaridhishwa na maendeleo ya ujenzi huo ambao unasimamiwa na wakala wa majengo Tanzania ‘TBA’.

Kutokana na kutoridhishwa huko ametoa wiki moja vifaa vya ujenzi viwe vimefika na mafundi wa kutosha waongezwe vinginevyo amemuagiza katibu Mkuu wa wizara hiyo kuangalia namna ya kuvunja mkataba.

Soma na hizi

Tupia Comments