AyoTV

VIDEO: Watafiti wa mazao ya mafuta wamekuja na njia ambazo zitaongeza uzalishaji

on

Tanzania ni nchi ya kumi kwa kuzalisha zao la alizeti kwa wingi duniani, watafiti wa mazao ya mbegu za mafuta march 15 2017 wamekutana jijini Dar es salaam na kujadili kuhusu mbegu ambayo itakua na msaada kwa wakulima hasa mbegu ambazo hazipokei magonjwa sana na ambazo zinatoa mafuta mengi zaidi. Bonyeza play hapa chini kutazama

VIDEO: Waziri January Makamba kuhusu uanzishwaji bustani za kupumzikia za kisasa, Bonyeza play hapa chini kutazama 

Soma na hizi

Tupia Comments