Habari za Mastaa

VIDEO: Cheki DMX alivyodondosha maombi kwenye huduma ya ibada ya Kanye West

on

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Rapper DMX alikuwa mgeni wa Kanye West siku ya Jumapili March 18,2019 kwenye huduma yake ya ibada ‘Sunday Service’ ambapo alianza kwa sala ya asubuhi na kufanya maombi yaliyowashangaza wengi.

Inaelezwa kuwa kutokana na DMX kualikwa katika huduma hiyo na kutumbuiza wengi walionekana kufurahishwa akiwemo mtoto wa kike wa Kanye ambaye ni North licha ya kwamba DMX amepitia wakati mgumu kwenye maisha yake ikiwemo kesi ya ukwepaji kodi iliyokuwa ikimuandama lakini ameonekana kufunguka zaidi kwenye maombi.

VIDEO: ‘Siwezi kujichubua huo muda sina, Bongomovie wakongwe wanasumbua sana location’

Soma na hizi

Tupia Comments