Habari za Mastaa

Nicki Minaj akanusha taarifa za kuolewa na mpenzi wake

on

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Rapper Nicki Minaj amekanusha taarifa zilizokuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu ishu ya kuolewa na mpenzi wake wa sasa Kenneth Petty baada ya kauli yake aliyoitamka na kusema ‘Mume’ kwenye kipindi chake cha Queen Radio.

Nicki Minaj alimuweka hadharani mpenzi wake kupitia ukurasa wake wa instagram December mwaka 2018 na kuonekana wakila bata sehemu mbalimbali hii ni baada ya Nicki Minaj kukaa muda mrefu bila kumtambulisha mwanaume yeyote kama mpenzi wake kupitia ukurasa wa instagram.

Rapper Nicki Minaj na mpenzi wake wa sasa Kenneth

 

VIDEO: MC PILIPILI “SIKUWAI KUPATA MZURI KAMA HUYU, NIMEZOEA KUZINGULIWA SITAKI TENA MAHUSIANO? NI SHETANI”

Soma na hizi

Tupia Comments