AyoTV

VIDEO: Baada ya JPM, Waziri Nchemba naye ametoa marufuku leo

on

Ni kiasi siku 4 tu zimepita tangu Rais Magufuli atoe katazo kwa Wanafunzi wanaopewa mimba kutoruhusiwa kuendelea na masomo baada ya kujifungua katazo ambalo limeibua mijadala kwa baadhi ya wanaharakati.

Leo June 25, 2017 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba ametoa angalizo kwa wanaoendelea kupingana na agizo hilo la Rais huku akitoa onyo…

ULIIKOSA HII ya Rais JPM kusema: “Hakuna mwenye mimba atakayerudi shuleni”. Bonyeza PLAY kwenye hii VIDEO hapa chini kutazama!!! 

Soma na hizi

Tupia Comments