Top Stories

Mwandishi aliedaiwa kutekwa anashikiliwa na Polisi, RPC athibitisha (+audio)

on

Leo July 29, 2019 Kamanda Jeshi la Polisi Kinondoni Mussa Taibu amesema ni kweli Jeshi la Polisi linamshikilia Mwandishi Erick Kabendera na yupo anahojiwa ila kuhusu kuachiwa itategemea baada ya kumaliza kumhoji.

“RAIS MAGUFULI MTAMPA MZIGO MSICHAGUE WEZI, MSIJITOE AKILI” MWASELELA

Soma na hizi

Tupia Comments