Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Mstaafu Kikwete mashamba yake kupangiwa matumizi, Ridhiwan aweka wazi (+video)

on

Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, ametembelea mjini Dodoma katika maeneo yake aliyonunua miaka ya 1980, ambayo yanatakiwa kupimwa na kupangiwa matumizi bora ya ardhi. Katika ziara hiyo aliambatana na familia yake.

Ridhiwan Kikwete amezungumza na Waandishi wa habari na kuelezea kile kilichomfanya Mstaafu Kikwete kutembelea eneo hilo.

LIVE: MFUNGWA AMCHOMA AFISA MAGEREZA KWA MAGUFULI “ONDOKA NAE ATANIUA”

Soma na hizi

Tupia Comments