Mix

Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu na Bongo Movie walivyoisafisha Kinondoni leo … (+Picha)

on

Headlines za usafi ni kila sehemu ambapo leo Dec 9, 2015 wananchi viongozi na mastaa mbalimbali  wa  wameungana kuhakikisha mazingira yanakuwa safi na salama… camera ya millardayo.com imefika Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam.

Wakati Rais John Pombe Magufuli akiungana na Mama Janeth Magufuli pamoja na wafanyabiashara wa Feri kusafisha eneo la soko hilo la Feri, Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan, Mkuu wa Wilaya Kinondoni Paul Makonda, mastaa wa bongo movie na wananchi na wenyewe waliungana kutekeleza agizo la Rais Magufuli #UhuruNaUsafi #December92015 kwa kusafisha eneo la Kinondoni.

.

.

.

.

.

.

DSC_3027

.

DSC_3024

.

DSC_3029

.

DSC_3032

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

DSC_3052

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.Snura ni miongoni walijitokeza kufanya usafi katika wilaya ya Kinondoni

.

.

.

.Msanii wa Bongo Movie, Wastara akiwa katika harakati a kuanza zoezi la usafi katika wilaya ya Kinondoni

.

.

.

.

.

.Mh DC Paul Makonda akizungumza na Steve Nyerere

.

.

.

.

.

.

.

.

.Makamu wa Urais Samia Suluhu akitekeleza wajibu wa kufanya usafi katika wilaya ya Kinondoni

.

.Bongo Movie wakiwa na makamu Urais Samia Suluhu baada ya zoezi la usafi wilaya ya Kinondoni

DSC_3134

DSC_3137

.Makamu wa rais Mama Samia Suhulu akiwa na wasanii wa Bongo Movie

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments