Leo May 30, 2018 akijibu mwongozo wa Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa Naibu waziri wa Fedha na mipango, Dkt. Ashatu Kijaji amekiri kushughulikia tatizo la mashine za kielektroniki za kutoa risiti ‘EFD’ ambazo zimekuwa hazifanyi kazi tangu May 11 2018.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama ilivyokuwa bungeni Dodoma