Habari za Mastaa

Rich Mavoko “ni siku ya mwisho ya Maisha yangu”

on

Mwimbaji wa Bongo Fleva Rich Mavoko amewaacha wengi dilemma ambapo kupitia ukurasa wake wa instagram ameaandika caption ambayo imeacha comments nyingi huku wengi wakijiuliza dhumuni la Mavoko kuandika hivyo.

Rich Mavoko ameandika “Ni Siku Ya Mwisho Ya Maisha Yangu Yaliobaki … 🙏”, kutokana na hicho alichokiandika Mavoko baadhi ya mashabiki wanahisi kuwa anataka kujiua kutokana na muziki wa bongo fleva kuwa mgumu na wengine kudai kuwa ni msongamano wa mawazo.

Fahamu kuwa ngoma ya Wezele ndio ngoma ya mwisho kutoka kwa Rich Mavoko kupitia mtandao wa You Tube ambapo aliiachia rasmi December 12,2018.

VIDEO: PIERE KAPATA SHAVU LA UBALOZI WA HOTEL KAFUNGUKA, SAA YA GHARAMA KAPEWA NA WEMA

Soma na hizi

Tupia Comments