Mix

PICHA 11: Ulivyokuwa ulinzi baada ya Lowassa kuwasili Makao Makuu ya Polisi leo

on

Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa leo June 29, 2017 alifika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kwa mara ya pili baada ya kupata wito kutoka kwa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI).

Miongoni mwa watu walioonekana kituoni hapo ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe lakini hata hivyo Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) alishindwa kumhoji Lowassa baada ya upelelezi kutokamilika hivyo ametakiwa kuripoti July 13.

Tamko la CHADEMA mbele ya waandishi DSM!!!

Soma na hizi

Tupia Comments