Top Stories

Rais Kenyatta “Huwezi zuia Mtanzania kufanya biashara Kenya” (+video)

on

Kauli ya Rais Kenyatta akiwa Chato leo July 5, 2019 “Kuna watu wanaropoka huko, unawezaje kuzuia Mtanzania asifanye biashara Kenya au Mkenya asifanye Biashara Tz? tunataka kushirikiana na kuona ushirikiano unakua na ndio maana tumeona sio kila siku ziara za Kitaifa, leo nataka nikale Sato kwake”

UHURU KENYATTA AZUNGUMZIA MECHI YA STARS NA KENYA

Soma na hizi

Tupia Comments