Duniani

Wakenya hawajaipenda hii !! Rais Kenyatta anaendesha gari na hajafunga mkanda.. (+Video)

on

Kama kumbukumbu zangu ziko sawa hii itakuwa ni mara ya pili kumuona Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anakaa kwenye kiti cha dereva na kujiendesha mwenyewe kwenye gari !!

Hii mpya ni kipande cha interview aliyofanyiwa Rais Kenyatta na mtangazaji wa Citizen TV, Jacque Maribe… ni kipande cha sekunde 15 za promo ya interview hiyo lakini inaonekana Wakenya wengi hawajapenda kuona Rais wao anaendesha gari huku akiwa hajavaa mkanda.

 Video yenyewe hii hapa.

Video nyingine ni hii hapa, Rais Kenyatta akijiendesha mwenyewe kwenye gari baada ya Mahakama ya ICC kufuta mashtaka yake.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments