Top Stories

Kamanda Muroto aibuka na mawakala feki wa mitandao

on

Jeshi la Polisi Dodoma kwa kushirikiana na Mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA imeendesha operation maalum ya kukagua mawakala wanaosajili line za simu ili kubaini makosa mbalimbali ikiwemo kufanya udanganyifu ikiwemo kusajili zaidi ya mtu mmoja kwa kutumia kitambulisho kimoja.

Kamanda wa Polisi Gilles Muroto amezungumza na Waandishi wa habari na kuwaeleza hatua zilizochukuliwa kwa watuhumiwa waliowakamata na kutoa onyo kwa wale wanaoendelea na michezo hiyo.

Soma na hizi

Tupia Comments