Video Mpya

VideoMPYA: Kutokea Dream City again CheqBob kamshirikisha Young D ‘Maruani’

on

Kama bado haujaiona hii mpya kutokea Dream City Media And Entertainment, inayomleta msaanii mpya kwenye game ya Bongofleva CheqBob akiwa amemshirikisha mmiliki wa record label ya Dream City, Young D wimbo unaitwa ‘Maruani’ na tayari unapatika kwenye platform zote.

Anzia hapa chini kwa kubonyeza PLAY kuona video.

EXCLUSIVE: Sister Fay kaongea tusiyoyafahamu, Waziri Shonza alimpa adhabu hii

VIDEO: KUTANA NA MSANII ATAKAYETESA KWENYE BONGOFLEVA, ANATENGENEZA HADI ROBOT

Soma na hizi

Tupia Comments