Burudani

Justin Bieber aiunga mkono kampeni ya kubadilisha logo ya NBA kuwekwa picha ya Kobe Bryant

on

Kufuatia kwa kifo cha mkongwe, Kobe Bryant unaambiwa mashabiki na wadau mbalimbali wameanzisha kampeni mpya ambayo ikitaka NBA wabadilisha logo yao ya zamani kisha kuwekwa picha ya Kobe ikiwa kama heshima kwenye mchezo huo wa mpira wa kikapu.

Sasa miongoni mwa staa wa Marekani alieunga mkono hoja hiyo ni Justin Bieber ambae amepost katika ukurasa wake wa instagram na kuonekana kusupport kampeni hiyo

Kwasasa ndio mjadala mkubwa mitandaoni mashabiki wakitaka NBA wabadilisha logo kisha kuweka picha ya Kobe Bryant kama kumuenzi kwani ana mchango mkubwa kwenye mchezo wa mpira wa kikapu (Basketball)

 

Soma na hizi

Tupia Comments