Kocha wa Timu ya Kingurunyembe yenye maskani yake mkoani Morogoro Peter Dihoko amefariki kwa mshtuko baada mchezaji wake kukosa penati wakati wa mechi ya kirafiki na timu ya Moro Kids.
Akithibitisha kutokea tukio hilo mtoto wa Mrehemu Alphonce Peter Dihoko amesema siku ya tukio Timu ya Kingurunyembe ambaye alikua akifundisha ilikua ikicheza mechi ya kirafiki na Timu ya Moro kids ambapo tayari alifungwa goli mbili kwa moja hivyo baada ya kupata nafasi ya penati aliamini Timu yake itasawazisha lakini mchezaji wake alikos Penati hiyo ndipo akaanguka galfa kwa mshituko
Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia taarifa kamili.