Kocha wa Leeds United Marcelo Bielsa (65) raia wa Argentina ameomba radhi kwa kutojifunza kiingereza licha ya kufanya kazi (Ukocha) England toka 2018.
Marcelo ameomba radhi kwa kushindwa kuzungumza vizuri kiingereza hususani wakati wa mahojiano na vyombo vya habari.
“Naomba radhi kwa wote ambao wanashindwa kunielewa kutokana na kushindwa kujifunza kiingereza, hilo ni moja kati ya mapungufu yangu katika soka la kiingereza ni kushindwa kuongea kiingereza” >>>> Bielsa