Michezo

Kocha Flamengo athibitika kuwa na corona

on

Mapema Jumatatu ya March 16 2020 imeripotiwa taarifa za ongezeko la wagonjwa wa corona kwa wanamichezo baada ya mchezaji Eliaquim Mangala wa Valencia kuthibitika kuwa na virusi hivyo.

Usiku huu kocha mkuu wa club ya Flamengo ya nchini Brazil Jorge Jesus ,65, amethibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya COVID19 vinavyoleta homa kali ya mapafu.

Hadi sasa wanamichezo katika upande wa soka waliokutwa na virusi hivyo ni zaidi ya watano akiwemo kocha mkuu wa club ya Arsenal Mikel Arteta.

 

Soma na hizi

Tupia Comments