Michezo

Kocha Msaidizi Burnley augua Corona

on

Baada ya EPL kuthibitisha kuwa jumla ya viongozi na wachezaji 748 wamepimwa Corona na kukutwa watu 6 kati ya hao wana maambukizi.

Burnley wamethibitisha kuwa kocha wao msaidizi Ian Woan ni miongoni mwa watu 6 waliothibitika kuwa na maambukizi.

Hivyo Ian Woan atalazimika kujitenga kwa muda ili kuisikilizia hali yake, taarifa za awali zinasema atapimwa tena mara baada ya siku 7 za karantini kupita.

Soma na hizi

Tupia Comments