Michezo

Kocha wa FC Barcelona adai kutukanwa

on

Kocha wa FC Barcelona Ronald Koeman athibitisha kuwa alitukanwa na mchezaji Allan Nyom wa Getafe katika mchezo ambao FC Barcelona walipoteza 1-0.

“Nilimwambia Jose Bordalas (Kocha wa Getafe) mchezaji jezi namba 12 (Nyom) alionesha kunivunjia heshima, alisema maneno mawili matatu ambayo sio mazuri kwangu na siwezi kuyarudia kutamka tena”>>> Koeman

“Alinitukana na nilimwambia Borales kwamba anatakiwa kuongea na mchezaji wake (Nyom) kwa sababu hatuwezi kuvumilia aina hii ya tabia katika soka la kisasa”>>>Koeman

Soma na hizi

Tupia Comments