Michezo

Kocha wa Simba SC Didier Gomes anatakiwa Libya

on

Kwa mujibu wa Alahrar TV ya Libya Kocha wa Simba SC Didier Gomes ni miongoni mwa majina ya makocha wanne ambao chama cha soka cha Libya kinataka mmoja kati yao awe Kocha Mkuu wa timu yao ya Taifa.

Majina mengine ni Javier Clemente (Hispania), Hector Cuper (Argentina), Sebastien Desabre (Ufaransa), Hubert Velud (Ufaransa) na Hossam Hassan (Misri).

Kwenye list hiyo Kocha Javier Clemente ana CV nzito amewahi kufundisha timu kadhaa kubwa Ulaya (Atletico Madrid, Espanyol, Marseille na Bilbao).

Soma na hizi

Tupia Comments