Michezo

Kocha wa Yanga afunga ndoa

on

Kocha mkuu wa Yanga SC raia wa Ubelgiji Luc Eymael ameoa kimya kimya na baada ya hapo akaamua kutangaza kupitia ukurasa wake wa instagram.

Eymael kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika ujumbe unaoashiria kuwa amefunga ndoa kimya kimya ila hajafanya sherehe kwa sababu ya ulinzi wa kiafya kwa hofu ya virusi vya corona.

“Mambo ya kidunia yameingilia harusi kwa sababu za kiafya (corona), waliobaki watakuwepo kwa ajili ya wakati mwingine na watakaoalikwa watajulishwa”

 

Soma na hizi

Tupia Comments