Kocha wa zamani wa viungo wa Simba SC Adel Zrane Raia wa Tunisia amefariki Dunia ghafla leo mchana akiwa nchini Rwanda.
Adel ambaye hadi umauti unamkuta alikuwa Kocha wa viungo wa timu ya APR ya Rwanda na amewahi kufanya kazi Simba SC katika kipindi cha miaka mitatu (2018-2021).