Michezo

kocha mpya wa Yanga umemuona? huyu hapa

on

safe_imageClub ya Yanga kupitia Facebook Imemtangaza rasmi kwamba kocha Hans Van Der Plyum ndio kocha rasmi wa timu hiyo na wameingia mkataba aanze hiyo kazi mara moja.

Anategemewa Jan 14 2014 mchana kuungana  na wachezaji wake waliopo nchini Uturuki kwenye kambi ya mafunzo ya wiki mbili kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara na mashindano ya kimataifa baadae.

Tupia Comments