Michezo

Kocho Pitso wa Mamelod aandika historia Afrika

on

Kocha Pisto Mosimane wa Afrika Kusini leo ameandika barua rasmi ya kujiuzulu nafasi yake ya ukocha katika club ya Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini kwa makubaliano ya pande zote mbili.

Pitso anaondoka Mamelod baada ya kudumu nayo kwa miaka 8 tokeo 2012, ambapo akiiongoza timu hiyo amefanikiwa kutwaa jumla ya Makombe 11.

Hata hivyo kama kweli atasaini kuifundisha club ya Al Ahly ya Misri, Pitso Mosimane atakuwa kocha wa kwanza Afrika ambaye hatokei Misri kuifundisha club hiyo ya Al Ahly.

Soma na hizi

Tupia Comments