AyoTV

VIDEO: ‘Rais Magufuli amesema yeye awe wa kwanza kukatwa kodi’- Waziri Mpango

on

June 20 2016 bunge la 11 limeiandika headline ya kupitisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017, bajeti iliyopita mara baada ya wabunge washiriki kupiga kura. Lakini kubwa iliyosikika ni hii ya Waziri wa fedha na mipango Philip Mpango kueleza kuwa Rais John Pombe Magufuli ametaka kodi yake kukatwa ili kuongeza mapato ya serikali.

Waziri Mpango amesema…>>>’Siku niliyotangaza kufuta msamaha wa wa kodi kwenye kiinua mgongo cha wabunge Rais Magufuli kwanza alinishangaa na akasema yeye ni mtanzania na nilazima watanzania wote walipe kodi ili kuijenga nchi

Na kwakuwa kiongozi ni lazima aongoze kwa mfano, Rais alisema yeye ni mbunge wa Tanzania yote na anapenda awe wa kwanza kukatwa kodi kwenye mafao stahiki ya kustaafu ‘ –Waziri Philip Mpango

Waziri Mpango ametaja viongozi wote wengine ambao watakatwa kodi zao..

ULIIKOSA HII ‘KAMA MNATUKATA KODI MKATENI HADI RAIS’ MBUNGE HUSSEIN BASHE

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa  INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments