AyoTV

Video: Alichojibu Koffi Olomide baada ya kuulizwa kuhusu Diamond Platnumz na Christian Bella

on

Mwimbaji wa Congo DRC Koffi Olomide ameshafika Dar es salaam tayari kwa ajili ya show ya Selfie16 kunogesha miaka 16 ya Clouds Escape One Mikocheni Dec. 8 ambapo muda mfupi baada ya kutua uwanja wa ndege, alihojiwa kuhusu zake na Diamond Platnumz zilizosikika pia na Christian Bella, bonyeza play kwenye hii video hapa chini upate uhondo wote.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments